Sylvia Mwehozi leo anakufahamisha juu ya Kilimo Fresh huduma iliyoanzishwa nchini Tanzania ambayo inakuwezesha kuagiza bidhaa za vyakula moja kwa moja kutoka mashambani na kuletewa mlangoni kwako.