Kiswahili kitaanza kufunzwa katika shule nchini Afrika kusini kuanzia mwaka 2020. Waziri wa elimu msingi, Angie Motshekga siku ya Jumatatu amesema kuwa Kiswahili kitafunzwa kama lugha mbadala kwa ...
Miongoni mwa visiwa vya kusini vya labyrinthine—ambapo upepo, mvua na baridi havitoi utulivu—Wakawésqar waliishi. Kundi la kuhamahama lilitumia muda mwingi wa siku katika mitumbwi yao wakitembelea ...
Leo hii, tunasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani, siku maalum ya kutambua na kuenzi thamani ya lugha ya Kiswahili kama chombo muhimu cha mawasiliano, utambulisho wa tamaduni, na daraja la maelewano ...
Mja anayeweza kuzungumza vizuri zaidi ya lugha moja hupata faida nyingi katika maisha ya kila siku na kazini. Waja wanaofahamu lugha nyingi hujifunza mengi kuhusu tamaduni nyingine. Wana uelewa wa ...
Afrika Kusini ni taifa lenye historia tata na yenye rangi nyingi za kitamaduni. Hili ndilo taifa pekee duniani ambalo katiba yake inazitambua rasmi lugha 11 kama lugha rasmi za taifa. Profesa Thandiwe ...
Kiswahili ni lugha ya taifa Tanzania na Kenya, na pia kinazungumzwa Uganda, DRC na visiwa vya Komoro. IPia kinazungumzwa kidogo Burundi, Rwanda, Kaskazini mwa Zambia, Malawi na Msumbiji. Neno ...
Licha ya kuwa Lugha ya Kiswahili ,imetambuliwa lugha ya kimataifa ,juhudi za kuikuza bado ni kidogo.Nchini Kenya shirika la kimataifa la Toastmasters ,inayotoa mafunzo kuhusu namna ya kuwasiliana ...
Kila inapofika Septemba 23 kila mwaka ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya ishara. Watu wenye ulemavu wa kutosikia au kusikia kwa shida wangali wanapata changamoto katika nchi nyingi ...
Kila mwaka watu wengi kutoka katika mataifa mengine wanakuja kuishi ujerumani, zaidi ya asilimia ishirini (20%) ya watu wanaoishi ujerumani wanatoka katika utamaduni mwingine wengi ni wamahiri wa ...
Fursa ya kupanua hadhi hii kwa baadhi ya nahau nyingi zinazotumiwa kila siku kuliko ile ya mkoloni wa zamani imeibuka tena tangu Mali, mkusanyiko mkubwa wa makundi ya watu, kupata uhuru mnamo 1960.