Mnamo mwaka 2009, jina la Aneth Gerena Isaya lilipasua vichwa vya Habari kadhaa nchini Tanzania, wakati wa sherehe za mahafali ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, kwa kuwa alikuwa mtu wa kwanza asiye na ...
Mamilioni ya watoto nchini Kenya wanarudi katika shule za msingi na zile za upili huku kukiwa na masharti yanayolenga kupunguza maambukizi ya virusi vya corona. Wanafunzi wa kidato cha nne wamekuwa ...
Nchini Niger, sekta ya elimu inadorora. Kufuatia wito wa muungano wa vyama 28 uliozinduliwa Jumatatu, Mei 12, walimu meamua kuanzisha mgomo wa saa 72. Wanadai kuajiriwa kwa wafanyikazi wa kandarasi na ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametangaza kuanzishwa kwa tuzo maalum kwa shule zitakazofanya vizuri katika ...
Waalimu wa shule za msingi katika majimbo ya Kivu Kusini na Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesusia kufundisha leo wakidai kuboreshewa mshahara poamoja na mazingira bora ya ...
Mgomo wa walimu umeendelea nchini Kenya, huku shule nyingi zikifungwa licha ya amri ya mahakama ya kuwataka walimu warejee shuleni Jumatatu wiki hii. Mgomo huu wa walimu nchini Kenya umeingia wiki ...
Shughuli za masomo zimetatizwa leo katika shule za umma nchini Kenya kufuatia mgomo uliotishwa na chama cha kitaifa cha waalimu nchini humo. Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi ametuandalia ...
WALIMU Cooperative Union Ltd, a teachers’ savings and credit institution, has revealed that more than Shs2 billion meant to empower teachers in Mayuge District has gone missing. The funds, disbursed ...
Ni wakati sahihi kwa makocha hasa wazawa kujiamini na kuanza kuomba kazi ya ukocha kama walimu wakuu na siyo wasaidizi kama sasa ndani na nje ya nchi Ni wakati sahihi kwa makocha hasa wazawa kujiamini ...
Njia yakuwa mwalimu nchini Australia kama unavyeti kutoka ng'ambo, mara nyingi huwa ngumu na inawafungia njia maelfu yawalimu watarajiwa kuingia katika mfumo. Hiyo ni kulingana na taarifa kutoka ...