MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, jana walishindwa kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa suluhu na wageni MC Alger ya Algeria katika mchezo wa raundi ya sita, ...
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya CAF, Simba leo wanakibarua cha kusaka pointi tatu zitakazowapa uhakika wa ...
KATIKA sehemu ya kwanza ya ripoti hii, ilielezwa utiririshaji wa vinyesi kwa watu waishio milimani nyakati za mvua ...
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), jana walimchagua kwa kishindo mwanasiasa mkongwe, ...